Swahili WOMEN CAN BE PRIESTS
header

Responsive image
HOME REASONS
Swahili
DEFY THE POPE?! DEBATE MENU
Nederlands/Vlaams Deutsch Francais English language Spanish language Portuguese language Catalan Chinese Czech Malayalam Finnish Igbo
Japanese Korean Romanian Malay language Norwegian Swedish Polish Swahili Chichewa Tagalog Urdu
------------------------------------------------------------------------------------
Kuna walau sababu saba Kwa nini wanawake wanaweza na yawapasa kepewa madaraja matakatifu.

Kuna walau sababu saba Kwa nini wanawake wanaweza na yawapasa kepewa madaraja matakatifu.

1.Ukuhani mmoja katika Kristu,
Kwa njia ya ubatizo wanawake na wanaume wanashiriki sawa katika ukuhani mpya wa Kristu.
Hii inajumuisha utayari wao katika madaraja matakatifu.
click!

2.Wamewezeshwa kuadhimisha
Wakati wa Karamu ya mwisho Yesu aliwawezesha wanawake na wanaume. Wote wanaweza kupewa daraja na kuadhimisha Ekaristi. click!

3.Upendeleo wa Kiutamaduni
Desturi ya Kanisa ya kutowapa daraja wanawake kama makuhani ililenga vigezo vitatu vya upendeleo dhidi ya wanawake. Hii iliathiri maamuzi ya viongozi wa Kanisa.click!

4. Wanawake walishawahi kuwa Mashemasi
Mpaka walau karne ya tisa Kanisa liliwapa wanawake sakramenti kamili ya daraja la ushemasi. Hii inathibitisha kuwa wanawake wanaweza kupewa daraja la upadre click!

5. Uwezo wa wanawake kupewa daraja umekuwapo kwenye mapokeo ya Kanisa yasiyoridhiwa.
Mfano mmojawapo ni ibada ya zamani kwa Maria kama kuhani. Hii inaonesha kwamba kulingana na hali ya waamini kwa Maria kizuizi dhidi ya wanawake kimeshaondolewa.click!

6. Sehemu kubwa ya Kanisa hukubali daraja la upadre kwa wanawake.
Baada ya sala na utafiti wa ndani, makanisa mengine ya Kikristu sasa yanawapa wanawake daraja la upadre. Ijapokuwa si kila kitu ambacho makanisa mengine yanafanya chaweza kukubaliwa na Kanisa Katoliki,makubaliano haya ya pamoja ya waamini wa Kikristu yadhihirisha kwamba, daraja kwa wanawake ni kulingana na mtizamo wa Kristu. click!

7. Wanawake pia,kwa hakika, wameitwa kuwa makuhani.
Ukweli kwamba wanawake wengi wawajibikaji wa Kikatoliki huamua wenyewe wito wa upadre ni ishara ya Roho Mtakatifu ambayo hatuwezi kuipuuza.click!

Hitimisho: Hakuna hoja halali dhidi ya wanawake mapadre, na hamna hoja nyingi za Kikatoliki zinazounga mkono jambo hili.

Join us  .  .  .  !

Then what about papal teaching
banning women priests?

Read our frequently asked questions!
Kateusz, Mary and Early Christian Women

JOIN AS A MEMBER by donating monthly, and as a Thank You we will send you a free copy of Dr Ally Kateusz, Mary and Early Christian Women: Hidden Leadership (Palgrave MacMillan, 2019).

ABOUT US

We are a network of scholars and volunteers who fight for gender equality in the Christian Churches and other religions.

Donations from taxpayers in the USA, UK, Netherlands, are tax deductible:

UK: Registered Charity Number 1053251;

Netherlands: KvK no. 41056067;

USA: Registered 501(c)3 non-profit, EIN: 26-3430065.

SIGN UP FOR NEWSLETTER
CONTACT US - VOLUNTEER
DONATE - JOIN AS A MEMBER